Sian Heder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Heder mwezi wa Machi 2022

Sian Heder (/ ˈʃɑːn ˈeɪdər /; alizaliwa Cambridge, Massachusetts, 23 Juni 1977) ni mwandishi na mtengenezaji wa filamu wa Marekani.

Anafahamika kwa uandishi na uelekezaji wa filamu ya CODA (2021), iliyomwezesha kushinda Academy Award for Best Adapted Screenplay na BAFTA Award for Best Adapted Screenplay [1]

Wazazi wake ni wanasanaa Mags Harries na Lajos Héder. Mamaye ni Mwales na babaye ni Mhungaria. Ameolewa na David Newsom na ana watoto wawili.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Galuppo, Mia (March 27, 2022). "'CODA's' Sian Heder Thanks Deaf, CODA Collaborators for Being “Teachers” in Adapted Screenplay Win". The Hollywood Reporter. Iliwekwa mnamo March 29, 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sian Heder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.