Cambridge, Massachusetts
- Tazama pia Cambridge na Cambridge, Ontario
Cambridge | |
Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Marekani" does not exist.Mahali pa mji wa Cambridge katika Marekani |
|
Majiranukta: Page Module:Coordinates/styles.css has no content.42°22′25″N 71°6′38″W / 42.37361°N 71.11056°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Massachusetts |
Wilaya | Middlesex |
Idadi ya wakazi | |
- | 101,388 |
Tovuti: www.cambridgema.gov |

Cambridge ni mji wa Marekani katika jimbo la Massachusetts ambayo ni sehemu ya rundiko la jiji la Boston. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 100,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Mji huu uliundwa mwaka 1631 na wakoloni Waingereza kwa jina la "Newe Towne" (mji mpya) kando la Boston. Mwaka 1636 chuo chake cha kwanza kilianzishwa na kutokana na chuo hiki jina la mji likabadilishwa kuwa "Cambridge" kwa heshima la Chuo Kikuu cha Cambridge katika Uingereza.
Leo hii Cambdridge wa Massachusetts inajulikana hasa kutokana na vyuo viwili mashuhuri ambavyo ni Chuo Kikuu cha Harvard na Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts (Massachusetts Istitute of Technology MIT).
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Chuo Kikuu cha Harvard
- Official City Page
- A multimedia walking tour of Cambridge provided by the Cambridge Office of Tourism. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-09-29. Iliwekwa mnamo 2009-06-21.
- A Brief History of Cambridge Archived Juni 29, 2006 at the Wayback Machine.
- Cambridge Office for Tourism
- Cambridge, Massachusetts katika Open Directory Project
Cambridge (Massachusetts) travel guide kutoka Wikisafiri
- Ramani
- Cambridge Maps Archived Julai 30, 2005 at the Wayback Machine.
- City of Cambridge Geographic Information System (GIS)
- 1871 Atlas of Massachusetts. by Wall & Gray. Map of Massachusetts. Map of Middlesex County.
- Dutton, E.P. Chart of Boston Harbor and Massachusetts Bay with Map of Adjacent Country. Archived Mei 12, 2009 at the Wayback Machine. Published 1867. A good map of roads and rail lines around Cambridge.
- Cambridge Citymap - Community, Business, and Visitor Map.
- Old USGS maps of Cambridge area.