Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Massachusetts Institute of Technology at night.

Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts (Massachusetts Institute of Technology MIT) ni chuo maarufu nchini Marekani kilichopo kwenye mji wa Cambridge karibu na Boston katika mashariki-kaskazini ya nchi. MIT ina vyuo sita ndani yake na idara 32.[1] Mkazo wake ni utafiti wa sayansi na teknolojia.

Wanavyuo wa MIT wamepokea tuzo nyingi pamoja na tuzo za Nobel 63.[2][3].

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Ramani[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. MIT Facts 2007: Academic Schools and Departments, Divisions & Sections. Iliwekwa mnamo 2007-02-14.
  2. "Three from MIT win top U.S. science, technology honors", MIT News Office, 19 Julai 2007. Retrieved on 2007-07-20. 
  3. MIT Office of Provost, Institutional Research. MIT MacArthur Fellows. Iliwekwa mnamo 2006-12-16.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.