Shujaa Mamadou Ndala
Mandhari
| Shujaa Mamadou Ndala | ||
|---|---|---|
Kava ya albamu ya Bomoa Mipango.
|
||
| Studio album ya Dekula Kahanga | ||
| Imetolewa | Mei, 2016 | |
| Imerekodiwa | 2016 | |
| Aina | Muziki wa dansi | |
| Lugha | Kiswahili, Kilingala, Kifaransa | |
| Lebo | Joji & Sensus | |
| Mtayarishaji | Dekula Kahanga | |
| Single za kutoka katika albamu ya Shujaa Mamadou Ndala | ||
Shujaa Mamadou Ndala ni jina la albamu ya Dekula Kahanga ya mwaka wa 2016. Albamu ina nyimbo zipatazo nane. Albamu hii ni ya nne tangu zile za awali ambazo ni: 1996 Safari East Africa, 2001 Sultan Qaboos, 2008 Rumaliza na hii 2016 Shujaa Mamadou Ndalakwanza kutolewa tangu kuanzishwa kwa Dekula Kahanga & His Band. Dekula ametunga nyimbo zote na kuzitayarisha kasoro namba 5 ni utunzi wake Bobo Sukari.
Nyimbo zilizopo katika albamu
[hariri | hariri chanzo]- Shujaa Mamadou Ndala
- Mama Afrika
- Kuna Mambo
- Liverpool
- Wabibi Waleo
- Tucheze Salsa
- Kigeugeu
- Agnes
Nyimbo zote zimetayarishwa na Dekula Kahanga katika studio ya Joji & Sensus huko mjini Stockholm, Sweden.