Nenda kwa yaliyomo

Shorinj Kempo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Shorinj Kempo

Shorinji Kempo ni mchezo wa mbinu za kujihami wenye asili ya Japani uliogundulika mwaka 1947 na Doshin So [1] aliyekuwa afisa wa jeshi aliyeishi nchini China akijifunza sanaa za mapigano kwa miaka kadhaa kabla na baada ya Vita vikuu vya pili [2].

Shorinj Kempo si mchezo wa mbinu za kujihami peke yake, lakini pia husimamia katika kumjenga binadamu katika misingi bora ya kijamii.

Malengo matatu ya Shorinji

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.martialartstube.net/doshin-so/
  2. https://www.shorinjikempo.net/en/about-shorinji-kempo/what-is-shorinji-kempo/
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Shorinj Kempo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.