Doshin So

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Doshin So (10 Februari 1911 - 2 Mei 1980) alikuwa ni afisa katika jeshi la Japani na alijulikana zaidi kama mgunduzi wa mchezo wa kujihami wa Shorinj Kempo [1] [2].

Alizaliwa katika mji wa Yokohama nchini Japani akafariki akiwa na umri wa miaka sitini na tisa.

Faili:So Doshin, founder of Shorinji Kempo.jpg
Doshin So

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Doshin So – Martial Arts Videos (en-US). Iliwekwa mnamo 2020-02-22.
  2. Shorinji Kempo: More Than A Martial Art | Black Belt Magazine (en). blackbeltmag.com (2013-02-07). Iliwekwa mnamo 2020-02-22.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Doshin So kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.