Shirley Chisholm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shirley Chisholm

Shirley Anita Chisholm ; (Novemba 30, 1924 - 1 Januari 2005) alikuwa mwanasiasa, mwalimu na mwandishi wa nchini Marekani. [1] Mnamo mwaka 1968, alikua mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa katika Bunge la Marekani . [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. PBS P.O.V. documentary. Chisholm '72: Unbought & Unbossed.
  2. Freeman (February 2005). Shirley Chisholm's 1972 Presidential Campaign. University of Illinois at Chicago Women's History Project. Jalada kutoka ya awali juu ya November 11, 2014.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shirley Chisholm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.