Shikamo Seye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Gerant"
"Gerant" kava
Wimbo wa Pepe Kalle

kutoka katika albamu ya Gerant

Umetolewa 1991
Umerekodiwa 1990-1991
Aina ya wimbo Soukous
Urefu 5:41
Studio Mélodie
Mtunzi Pepe Kalle
Gerant orodha ya nyimbo
 1. 1 - Gerant
 2. 2 - Milla
 3. 3 - Shikamo Seye
 4. 4 - Pedro
 5. 5 - Milla (Version Stade)
 6. 6 - Zonga Aime
 7. 7 - Beli Seyo
 8. 8 - Muyonga
 9. 9 - Bitota
 10. 10 - Gerant (Instrumental)
 11. 11 - Shikhamo (Instrumental)
 12. 12 - Zonga Aime (Instrumental)

"Shikamo Seye" (vilevile "Hidaya") ni jina la wimbo wa tatu kutoka katika tepu na CD baadhi ya albamu ya Gerant ya msanii wa muziki wa soukous kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Wimbo unazungumzia msichana aliyeitwa Hidaya kupotea nchii Tanzania wakati alivyokuja kwa ajili ya kutumbuiza miaka ya 1990 mwanzoni. Kinanda kazi ya Manu-Lima wakati gitaa limepigwa na Dally Kimoko. Baadhi ya maneno anasema; "Nimepoteza kipenzi changu nchini Tanzania, Nimepoteza mkanda wa kiuno, nitarudi".

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Bolingo-song-stub