Sheria ya Uhifadhi Wanyamapori ya 1997 (Jimbo la Sabah)
Mandhari
Sheria ya Uhifadhi Wanyamapori ya 1997 (Kimalay: Enakmen Pemeliharaan Hidupan Liar 1997) ni sheria ya kikanda inayotekelezwa katika jimbo la Sabah katika fukwe za Borneo huko Malaysia[1]. Malengo yake ni kulinda viumbe(spishi) walio katika hatari ya kupotea ambao ni mimea pamoja na wanyama [2]katika eneo hili pamoja na kudhibiti biashara ya kimataifa ya spishi hizi.Pia inaelezea adhabu maalum kwa wale wanaovunja sheria na kanuni zilizowekwa katika sheria.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "In Malaysian Borneo's rainforests, powerful state governments set their own rules". Mongabay Environmental News (kwa American English). 2021-02-18. Iliwekwa mnamo 2022-05-18.
- ↑ ABT Creative Team. "Endangered Animals in Borneo You Need to See Before It's Too Late". www.amazingborneo.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-18.