Nenda kwa yaliyomo

Sharon Farmer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

[

Sharon Camille Farmer
Amezaliwa
Washington
Nchi Marekani
Kazi yake Mpiga pichaaa Mnamo mwaka1974

[Faili:President Bill Clinton with Prime Minister Ehud Barak of Israel and Chairman Yasser Arafat of the Palestinian Authority.jpg|alt=Picha ya Sharon Farmer ya mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Yasser Arafat, Rais wa Marekani Bill Clinton na Waziri Mkuu wa Israel Ehud Barak waliokutana pamoja kwa mazungumzo ya amani mwaka 2000.|thumb|Picha ya Sharon Farmer ya mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Yasser Arafat, Rais wa Marekani Bill Clinton na Waziri Mkuu wa Israel Ehud Barak waliokutana pamoja kwa mazungumzo ya amani mwaka 2000.]] Sharon Camille Farmer (amezaliwa 1951)[1] ni mpiga picha wa nchini Marekani. Alikuwa mwanamke wa kwanza wa Marekani mwenye asili ya Afrika kuteuliwa kuwa mkuu wa wapigapicha wa Ikulu ya Marekani[2][3] na mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuwa mkurugenzi wa ofisi ya wapigaji picha wa ikulu.[4][5]

Farmer alizaliwa na kukulia jijini Washington, D.C.[6] alihitimu chuo kikuu cha Ohio mwaka 1974 akipata shahada ya upigaji picha. Akiwa angali anasoma, alikua mjumbe wa kikundi cha ‘’Delta Sigma Theta Sorority’’, makamu wa raisi wa serikali ya wanafunzi, na pia mhariri wa gazeti ya shule Our Choking Times.[7] [[picha:Arafat&Clinton&Barak.jpg|thumb|alt=Palestinian Authority chairman Yasser Arafat, U.S. President Bill Clinton and Israeli Prime Minister Ehud Barak came together for peace negotiations in 2000. Photograph by Sharon Farmer|thumb|Picha iliyopigwa na Sharon Farmer ikimuonyesha mwenyekiti wa Mamlaka wa Palestina Yasser Arafat, raisi wa Marekani Bill Clinton na Waziri mkuu wa Israeli Ehud Barak wakati wa mkutano wa makubaliano ya amani mwaka 2000

Farmer alianza kazi yake mwaka 1974 akipiga picha kwa ajili ya albamu. Kazi yake ya upigaji picha kwa kujitegemea ulikua hadi kufikia uandishi Habari wa picha na kufanya kazi na ‘’Smithsonian Institution’’, The Washington Post na ‘’American Association for the Advancement of Science’’.[8]

Mnamo mwaka 1993, Sharon Farmer aliajiriwa kuwa mpigaji picha wa Raisi wa Marekani Bill Clinton pamoja na mke wa raisi Hillary Rodham Clinton.[9][10] Later, Farmer was promoted to Director of White House Photography and became the first African American and first woman to hold this position.[8][11]

Kazi za Farmer zimetumika katika maonyesho mengi tofauti tofauti kama vile: "Songs of My People," "Art against AIDS," "Gospel in the Projects," "Twenty Years on the Mall," "Washington, DC-Beijing Exchange," na "Our View of Struggle."[8]

Sharon Farmer alijikita zaidi katika picha na pia alisomea muziki wakati akiwa Chuo Kikuu cha Ohio huko Columbus, Ohio, ambapo alipata shahada ya Sanaa.[12]

  1. Gates, Henry Louis. "Profile Sharon Farmer African-American National Biography" (PDF). Iliwekwa mnamo Septemba 30, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Dawkins, Wayne (Januari 1, 2003). Rugged Waters: Black Journalists Swim the Mainstream (kwa Kiingereza). August Press LLC. ISBN 9780963572073.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Smith, Jessie Carney; Bracks, Lean'tin; Wynn, Linda T. (Juni 1, 2015). The Complete Encyclopedia of African American History (kwa Kiingereza). Visible Ink Press. ISBN 9781578595839.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Meet White House Photographer, Sharon Farmer". clinton4.nara.gov. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2001-04-26. Iliwekwa mnamo Novemba 12, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Langer, Emily. "Ellsworth J. Davis, first black photographer for The Washington Post, dies at 86", August 19, 2013. (en-US) 
  6. Freeman, Macy L.. "Black photographers tell their stories", November 22, 2011. (en-US) 
  7. "Sharon Farmer". LGBTHistoryMonth.com. Iliwekwa mnamo Novemba 12, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. 8.0 8.1 8.2 "Sharon Farmer". The HistoryMakers. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-09. Iliwekwa mnamo Novemba 19, 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Photographer Spotlight | Sharon Farmer". thephotographer4you.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-17. Iliwekwa mnamo Novemba 19, 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "Minor Rift Between First Pets - 01-06-98". AllPolitics. CNN. Iliwekwa mnamo Novemba 20, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Tuason presents award to Sharon Farmer". www.glaa.org. Aprili 20, 2011. Iliwekwa mnamo Novemba 20, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. "Sharon Farmer". Focus On The Story. Iliwekwa mnamo 11 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sharon Farmer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.