Seria A

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Seria A ni ligi kuu kati ya timu za soka zilizopo nchini Italia na mshindi anapata ubingwa wa Italia.

Seria A ni ligi yenye ushindani kuliko zote duniani na ilikuwa ligi bora duniani mwaka 2014.

Ilianzishwa mnamo mwaka 1929 ikiwa na timu 16 na sasa ina timu 20.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seria A kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.