Sergio Rico

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rico akiwa amesimama golini.

Sergio Rico González (alizaliwa mnamo 1 Septemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza katika klabu ya Uingereza Fulham kwa mkopo kutoka Sevilla FC kama golikipa.

Alianza kazi yake huko Sevilla Hispania, ambako alishinda mashindano ya Europa League mara mbili.

Rico alifanya mechi yake ya kwanza ya kimataifa na Hispania mwaka 2016, na alichaguliwa kwenye michuano ya Ulaya.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergio Rico kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.