Nenda kwa yaliyomo

Sergio Fernández (mwanariadha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sergio Fernández Roda (amezaliwa tarehe 1 Aprili 1993) ni mwanariadha kutoka nchini Hispania.Alishiriki katika mashindano ya Uropa ya mwaka 2016 huko Amsterdam nchini Uholanzi, ambapo alishinda medali ya fedha katika kukimbia na kuruka vizuizi kwa umbali wa mita 400. Mwaka huo huo aliiwakilisha nchi yake katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 2016 na alishindwa kuingia fainali kwa kupishana kidogo na rekodi mpya ya kitaifa katika mchezo wa nusu fainali.

Fernández aliwakilisha nchi yake katika mizunguko ya kufuzu Mashindano ya Dunia ya Vijana ya mwaka 2012 katika Riadha,Mashindano ya Riadha ya Ulaya ya 2014 na Mashindano ya Riadha ya Ulaya ya U23.[1]

  1. "European Athletics Homepage | European Athletics". european-athletics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-06.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergio Fernández (mwanariadha) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.