Senzeni Marasela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Senzeni Marasela

Senzeni Marasela (alizaliwa Thokoza, 11 Februari 1977) ni msanii wa sanaa za picha, video, sanaa za urembo na uchapishaji wa Afrika Kusini anayefanya kazi kupitia vyombo tofauti vya habari.

Senzeni alipata shahada ya urembo katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand, kilichopo katika jiji la Johannesburg mnamo mwaka 1998, kazi zake za sanaa zimekuwa zikionyeshwa katika nchi za Afrika ya Kusini, Ulaya na Marekani, pia zimekuwa zikichapishwa katika majarida na magazeti mbalimbali na pia huonyeshwa katika majumba ya Makumbusho.[1][2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Clarke, Christa (2017). Art, Identity, and Autobiography. Senzeni Marasela and Lalla Essaydi. Oklahoma: University of California Press, 221–236. ISBN 9780520287365. 
  2. Hudson, Heidi (2015). Representations of Otherness and Resistance in Africa. Bloemfontein: Johannes Stegman Art Gallery, 4–14. ISBN 978-0-86886-830-1. 
  3. Crawshay-Hall, Jayne (2013). Trans-Africa. Africa curating Africa. Johannesburg: Absa Art Gallery, 14–15, 52–53. 
  4. Gordon-Chipembere, Natasha (2011). Under Cuvier's Microscope: The Dissection of Michelle Obama in the Twenty-First Century. New York: Palgrave MacMillan, 165–180. ISBN 9780230117792. 
  5. Richards, Colin (2004). Senzeni Marasela. Cape Town: Bell-Roberts, 230–233. ISBN 9781868729876. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Senzeni Marasela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.