Semmy Kessy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Semmy Kessy
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 30 Oktoba 1984
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Semmy Kessy alizaliwa (30 Novemba 1984) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania, ambaye alicheza kama mshambuliaji.

Klabu[hariri | hariri chanzo]

Kessy alichezea vilabu mbalimbali vya soka nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na Young Africans (2003), Bandari FC (2005), African Lyon (2011 - 2013), Toto Africa (2010) na Madini FC (2014 - 2017).[1] Pia alichezea vilabu kadhaa nje ya mipaka ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na klabu ya La Passe FC (2014) iliyupo katika visiwa vya La Digue.[2]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alishiriki mashindano mbalimbali ya Kimataifa katika Timu ya Taifa ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na michuano ya kombe la CECAFA mwaka 2005.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Semmy Kessy (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-16. 
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "La Passe FC (2014)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-16. 
  3. Benjamin Strack-Zimmermann. "CECAFA Cup (2005) | Final Tournament | Group Stage | Group A". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-16. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Semmy Kessy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.