Nenda kwa yaliyomo

Selemani Said Bungara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Selemani Said Bungara (amezaliwa 18 Novemba 1961) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Wananchi au Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kilwa Kusini kwa mwaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 11 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selemani Said Bungara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.