Segera (Handeni)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Segera ni kata ya Wilaya ya Handeni Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 29782 waishio humo katika vijiji tisa, huku biashara kubwa ikiwa kilimo na ufugaji. Segera ni kata ya pili nchini kwa uzalishaji mkubwa wa machungwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Handeni Vijijini - Mkoa wa Tanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Kabuku | Kabuku Ndani | Kang'ata | Kiva | Komkonga | Kwachaga | Kwaluguru | Kwamatuku | Kwamgwe | Kwamsisi | Kwankonje | Kwasunga | Kwedizinga | Mazingara (Handeni) | Mgambo (Handeni) | Misima | Mkata | Ndolwa | Segera | Sindeni

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Segera (Handeni) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.