Nenda kwa yaliyomo

Sebkha-El-Coursia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sebkha-El-Coursia ni uwanda wa pwani wenye chumvi asilia na eneo la kiakiolojia nchini Tunisia. Eneo hili lilikuwa dayosisi ya kale ya Kanisa Katoliki.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Wakati wa zamani, jiji hili lilikuwa chini ya sheria ya mji katika jimbo la Kirumi la Africa Proconsularis uitwao Giufi Salaria.

Wakati wa Dola la Rumi na Bizanti, Sebkha-El-Coursia ilikuwa pia ni jimbo la Kikristo chini ya jimbo kuu la Karthago.[1] Ni maaskofu wawili tu wa Giufi Salaria ndio wanafahamika: Procolo, Mkatoliki aliyehudhuria Mtaguso wa Karthago (411), na Bennato ambaye alishiriki katika Mtaguso wa Karthago (646).

Nyakati hizi, Giufi Salaria ni jimbo jina na askofu wake wa sasa ni Herman Willebrordus Woorts, anayehudumia Utrecht, Uholanzi. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. J. Mesnage, L'Afrique chrétienne, (Paris, 1912), p. 201.
  2. Titular Episcopal See of Giufi Salaria at gcatholic.org.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sebkha-El-Coursia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.