Nenda kwa yaliyomo

Sebastiaan Bornauw

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sebastiaan Bornauw (alizaliwa 22 Machi 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ubelgiji, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sebastiaan Bornauw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.