Sassura
Mandhari
Sassura ulikuwa mji wa Kirumi, unaotambulika kama Henchir-Ez-Zaouadi katika Tunisia ya leo.
Ni jimbo la kale chini ya utawala wa askofu wa dayosisi (kwa Kilatini: Dioecesis Sassuritana) katika jimbo la Dola la Roma la Byzacena.[1][2][3] Kwa sasa ni jimbo jina la Kanisa Katoliki.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sassura kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |