Nenda kwa yaliyomo

Sasha Andrews

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Andrews akichezea Perth Glory FC W-League mwaka 2012.

Sasha Andrews (alizaliwa Edmonton, Alberta, 14 Februari 1983) ni mlinzi wa kandanda kutoka Kanada anayecheza katika klabu ya Iceland katika Úrvalsdeild. Alishinda medali ya shaba akiwa na Timu ya Taifa ya Wanawake ya Kanada katika Mashindano ya Pan American ya 2007.[1]

  1. Sasha Andrews FIFA competition record
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sasha Andrews kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.