Saplisi
Mandhari
Saplisi (kutoka neno la Kiingereza surplice ambalo limetokana na Kilatini superpelliceum, ambamo super inamaanisha "juu" na pellicia inamaanisha "vazi la ngozi") ni vazi la liturujia ya Ukristo wa Magharibi (Wakatoliki, Wakatoliki wa Kale, Waanglikana, Walutheri n.k.)[1].
Ni kama alba fupi[2] yenye mikono mipana.
Kwa kawaida inatumika juu ya kanzu ya kipadri au ya kitawa pale ambapo ibada haidai alba, kwa mfano katika kuadhimisha ubatizo.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Catholic Encyclopedia
- ↑ Anglicans typically refer to a Roman-style surplice with the Medieval Latin term cotta (meaning "cut-off' in Italian), as it is derived from the cut-off alb.
ḅ
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Braun, Joseph (1912), "Surplice", The Catholic Encyclopedia, juz. la XIV, New York: Robert Appleton Company, iliwekwa mnamo 2007-08-18
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saplisi kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |