Nenda kwa yaliyomo

Santiago Bernabeu Yeste

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Santiago Bernabeu Yeste
Saini ya Santiago Bernabeu mwaka 1969

Santiago Bernabeu Yeste (8 Juni 1895 - 2 Juni 1978) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Real Madrid aliyekuwa anacheza katika nafasi ya mshambuliaji.

Bernabeu ndiye mchezaji muhimu kuliko wote katika historia ya klabu ya Real Madrid kwani alisaidia madrid kuingia miongoni mwa klabu zenye mafanikio Hispania na Ulaya.Mpaka sasa uwanja unaotumiwa na Real Madrid wanauita kwa jina lake.

Alikuwa rais wa klabu ya Real Madrid kwa miaka 35 kuanzia mwaka 1943 mpaka 1978.Mwaka 1978 Bernabeu alifariki dunia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Santiago Bernabeu Yeste kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.