Santa Ana, California

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Santa Ana, California
Santa Ana
Santa Ana is located in Marekani
Santa Ana
Santa Ana
Mahali pa mji wa Santa Ana katika Marekani
Majiranukta: 33°44′00″N 117°52′00″W / 33.733333°N 117.866667°W / 33.733333; -117.866667
Nchi Marekani
Jimbo California
Wilaya Orange
Idadi ya wakazi
 - 339,555
Tovuti: http://www.santa-ana.org/
Mahali pa Santa Ana katika Orange County na California

Santa Ana (yaani "Mtakatifu Ana") ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 340,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 35 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 71 km².

Jina lake la Kihispania linadokeza asili ya mji huo kama misheni ya Ndugu Wadogo kutoka Mexico iliyoanzishwa kwa heshima ya mama wa Bikira Maria.

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag-map of California.svg Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santa Ana, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.