San Bernardino, California
Mandhari
San Bernardino | |
Mahali pa mji wa San Bernardino katika Marekani |
|
Majiranukta: 34°7′46″N 117°17′35″W / 34.12944°N 117.29306°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | California |
Wilaya | San Bernardino |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 205,010 |
Tovuti: www.sbcity.org |
San Bernardino (yaani "Mtakatifu Bernardino") ni mji wa Marekani katika jimbo la California.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 205,000 wanaoishi katika mji huu.
Mji upo m 321 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jina lake la Kihispania na la Kifransisko linadokeza asili ya mji huo kama misheni ya Ndugu Wadogo iliyoanzishwa kwa heshima ya Bernardino wa Siena.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu San Bernardino, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |