San Antonio, Texas
Mandhari
(Elekezwa kutoka San Antonio)
Jiji la San Antonio | |
Mahali pa mji wa San Antonio katika Marekani |
|
Majiranukta: 29°27′6″N 98°30′46″W / 29.45167°N 98.51278°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Texas |
Wilaya | Bexar |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,336,040 |
Tovuti: www.sanantonio.gov |
San Antonio (yaani "Mtakatifu Antoni") ni mji wa Marekani katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 198 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jina lake la Kihispania na la Kifransisko linadokeza asili ya mji huo kama misheni ya Ndugu Wadogo iliyoanzishwa kwa heshima ya Antoni wa Padua.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu San Antonio, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |