Nenda kwa yaliyomo

San Antonio, Texas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa San Antonio, Texas


Jiji la San Antonio
Jiji la San Antonio is located in Marekani
Jiji la San Antonio
Jiji la San Antonio

Mahali pa mji wa San Antonio katika Marekani

Majiranukta: 29°27′6″N 98°30′46″W / 29.45167°N 98.51278°W / 29.45167; -98.51278
Nchi Marekani
Jimbo Texas
Wilaya Bexar
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,336,040
Tovuti:  www.sanantonio.gov
Ramani

San Antonio (yaani "Mtakatifu Antoni") ni mji wa Marekani katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 198 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Jina lake la Kihispania na la Kifransisko linadokeza asili ya mji huo kama misheni ya Ndugu Wadogo iliyoanzishwa kwa heshima ya Antoni wa Padua.

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Antonio, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.