Salimu Khamis Aiyee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salimu Khamis Aiyee
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 5 Mei 1996
Mahala pa kuzaliwa    Dar es Salaam, Tanzania
Urefu 1.84 m
Nafasi anayochezea Mshambuliaji

* Magoli alioshinda

Salimu Khamis Aiyee (alizaliwa 5 Mei 1996)ni mshambuliaji wa mpira wa miguu kutoka Tanzania anayechezea klabu ya soka ya KMC.[1] Alianza kucheza katika klabu ya Mwandui United tangu mwaka 2014[2], kabla ya kusainiwa katika klabu ya KMC mnamo mwaka 2022.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Mwadui United (2014/15)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-10. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salimu Khamis Aiyee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.