Saldae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mediteranea Magharibi wakati wa Dola la Roma.
Ramani ya Algeria.

Saldae ulikuwa mji wa bandari katika Dola la Roma, upo katika eneo ambalo kwa sasa linajulikana kwa jina la Béjaïa, Kabylia nchini Algeria. Ilikuwa njia panda ya sehemu ya mashariki na magharibi mwa Afrika ya kaskazini, kutoka himaya ya Karthago hadi mwisho wa himaya ya Bizanti kutoka kwenye bara.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saldae kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.