Majadiliano:Saldae
Mandhari
Saldae ulikuwa ni mji wa bandari wa bandari katika himaya ya kale ya Roma, upo katika eneo ambalo kwa sasa linajulikana kwa jina la Béjaïa , Kabylia nchini Algeria.Ilikuwa ni njia panda ya sehemu ya mashariki na magharibi mwa Afrika ya kaskazini, kutoka himaya Carthage hadi mwisho wa himaya ya Byzantine kutoka kwenye bara.
Marejeo
[hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Majadiliano:Saldae kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |