Béjaïa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Béjaïa zamani ulijulikana kama Bougie au Bugia na ni mji wa bandari kwenye ghuba ya Béjaïa nchini Algeria; ni mji mkuu wa jimbo la Béjaïa, Kabylia. Béjaïa ni jiji kubwa zaidi linayotumia lugha ya Kabyle .

Mji huo unatazamana na mlima Yemma Gouraya ambapo mwonekano wake unafananishwa na umbo la mwanamke aliyelala. Maeneo mengine ya karibu ni pamoja na pwani ya "Aiguades" na "Pic des Singes" (Monkey Peak); hapo wako nyanyi aina ya Barbary Macaque walio hatarini kuangamizwa. Sehemu hizo zote ziko katika Hifadhi ya Kitaifa ya Gouraya. Mto Soummam unapita katikati ya mji.

Wakati wa ukoloni wa Ufaransa, hapo zamani mji uliandikwa kwa tahajia ya Kifaransa kwa mfano Bougie. [1]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejereo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bougie (n). Oxford English Dictionary. Oxford University Press. “Etymology: < French bougie wax candle, < Bougie (Arabic Bijiyah), a town in Algeria which carried on a trade in wax” Available online to subscribers