Nenda kwa yaliyomo

Saki Kumagai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saki Kumagai (alizaliwa 17 Oktoba 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo au beki wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya AS Roma huko Italia. Saki ni kiungo hodari wa kujihami mwenye uwezo mkubwa na ujasiri wa kipekee uwanjani. Saki anaweza kucheza kama beki wa kati. Saki ni mmoja wa wachezaji wenye mafanikio makubwa Asia ya Mashariki.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Japan Football Association
  2. "Saki Kumagai: A captain, a champion, a Japanese hero".
  3. "A Look At The Best Asian Female Football Players Of All Time". Yahoo News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-10-09. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saki Kumagai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.