Nenda kwa yaliyomo

Saida Menebhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saida Menebhi (Marrakesh, 1952Casablanca, 11 Desemba 1977) alikuwa mshairi wa Moroko, mwalimu wa shule ya sekondari, na mwanaharakati wa vuguvugu la mapinduzi la Ila al-Amam.

Mnamo 1975 yeye, pamoja na washiriki wengine watano wa harakati hizo, alihukumiwa kifungo cha miaka saba kwa shughuli za kupinga serikali. Mnamo tarehe 8 Novemba 1977, ndani ya jela huko Casablanca, alishiriki katika mgomo wa pamoja wa njaa, akafa katika siku ya 35 ya mgomo katika Hospitali ya Avicenne.[1] [2]

  1. " الشهيدة سعيدة المنبهي كتبت الشعر بالاظافر والدم (مختارات من ديوانها) " . الموقع الإلكتروني لمؤسسة الحوار المتمدن . العدد 4867 . 15 يوليو 2015 Archived 2017-02-05 at the Wayback Machine.
  2. "11 décembre 1977 : décès de Saïda Menebhi, « la martyre du peuple marocain »" (in French). Diversgens. Retrieved 1 May 2018.
  1. http://www.ahewar.org/debat/show.art.asp?aid=476439
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-14. Iliwekwa mnamo 2022-02-28.