Sah'lomon
Mandhari
Sah'lomon | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Sah'lomon | |||||
Imetolewa | 1992 | ||||
Imerekodiwa | 1991-1992 | ||||
Aina | Soukous | ||||
Lebo | Sah'lomon – NS 003 | ||||
Mtayarishaji | Sah'lomon | ||||
Wendo wa albamu za Sah'lomon | |||||
|
"Sah'lomon" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1992 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Sah'lomon. Albamu hii umaarufu wake unatokana na wimbo wa " Sarrah." Nyimbo nyengine kali kutoka katika albamu ni pamoja na Kumba, Salam Samia, Kumba na Jona.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.
- A1 — Sarrah
- A2 — Aissa Kumba
- A3 — Salam Samia
- A4 — Instrumental Kumba
- B1 — Jona
- B2 — Nac Mina
- B3 — Kumba
- B4 — Jona (B)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Sah'lomon katika wavuti ya Discogs.