SD Compostela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja Wa SD Compostela
William Amaral Kocha Wa SD Compostela

Sociedad Deportiva Compostela (inayojulikana kama SD Compostela, au tu kama Compostela) ni klabu ya soka ya kitaaluma iliyoko Santiago de Compostela, Hispania.

SD Compostela ilianzishwa tarehe 26 Juni 1962.

Timu imecheza mechi zake za nyumbani katika uwanja wa San Lázaro wenye uwezo wa kubeba mashabiki 16,666 huko Santiago de Compostela tangu mwaka 1993.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu SD Compostela kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.