Rym Ghezali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rym Ghezali (29 Juni 198217 Machi 2021) ni Mwaljeria mwimbaji na mwigizaji. Anajulikana miongoni mwa El Wa3ra.[1][2]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Ghezali alishiriki katika Star Academy 3 mwaka 2005.[3] Mwaka 2017 aliunda na kuanzisha El Wa3ra, kisha akaigiza kwenye Boqron mwaka 2018.[3]

Alifariki Paris, Ufaransa akiwa na umri wa miaka 38, kisha kusumbuliwa na kansa tangu mwaka 2019.[4][1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rym Ghezali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.