Ryan Giggs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ryan Giggs akiwa na Manchester United F.C mwaka 2015

Ryan Joseph Giggs (alizaliwa 29 Novemba 1973) ni kocha wa soka wa Welisi na mchezaji wa zamani wa soka aliyecheza katika klabu ya Manchester United F.C.

Ndiye mkurugenzi wa timu ya taifa ya Wales na mmiliki mwenza wa Salford City.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ryan Giggs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.