Runzewe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Runzewe
Nchi Tanzania
Mkoa Mkoa wa Geita
Wilaya Bukombe
Idadi ya wakazi
 - 36,424

Runzewe ilikuwa kata ya Wilaya ya Bukombe katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 36,424 walioishi humo. [1]

Mwaka 2012 kata iligawiwa kuwa kata mbili za Runzewe Mashariki na Runzewe Magharibi na kuwa sehemu ya mkoa wa Geita pamoja na wilaya yote ya Bukombe.

Tena sasa kata hiyo imegawiwa vitongoji vipya kikiwemo kitongoji cha Majengo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-17.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Bukombe - Mkoa wa Geita - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bugelenga | Bukombe | Bulangwa | Bulega | Busonzo | Butinzya | Igulwa | Iyogelo | Katente | Katome | Lyambamgongo | Namonge | Ng'anzo | Runzewe Magharibi | Runzewe Mashariki | Ushirombo | Uyovu


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.