Nenda kwa yaliyomo

Rossella Farina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rossella Farina (alizaliwa 6 Juni 1974) ni mwanariadha mtaafu wa kikewa Italia ambaye alishiriki katika Mashindano ya Dunia ya Riadha ya mwaka 1995. [1]

  1. "Daeugu 2011 Media Guide" (PDF).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rossella Farina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.