Rosemary Aluoch
Mandhari
Rosemary Aluoch (5 Julai 1976 - 4 Oktoba 2020) alikuwa mwanasoka wa Kenya ambaye alicheza kama golikipa.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Aluoch alichezea timu ya wanawake ya Kenya kuanzia 1995 hadi 2014. Pia alichezea vilabu vingi vya kandanda nchini Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda, na Burundi. Alijiunga na wafanyakazi wa timu ya wanawake ya Kenya mnamo 2015, akihudumu kama mkufunzi wa makipa. [1]
Rosemary Aluoch alifariki Kasarani Oktoba 4 2020 akiwa na umri wa miaka 44. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Shock as former Harambee Starlets ace dies". Nation. 4 October 2020.
- ↑ "Rosemary Aluoch, l'ancienne gardienne des Harambee Starlets, inhumée". Confédération Africaine de Football (in French). 26 October 2020.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rosemary Aluoch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |