Rose Moss

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rose Rappoport Moss (amezaliwa 1937) ni mwandishi wa nchini Afrika Kusini.[1][2] Alihamia Amerika mnamo mwaka 1961.[1] Amechapisha riwaya, hadithi fupi, maneno ya muziki.[3] Pia alikuwa mwalimu katika Chuo cha Wellessley.[1] Akiwa pamoja na Barney Simon na Rose Zwi, walikuwa wakijulikana kama waandishi wa mji Johannesburg.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 Young-Bruehl, Elisabeth (1994-12-09). Global Cultures: A Transnational Short Fiction Reader (kwa Kiingereza). Wesleyan University Press. ku. 49–50. ISBN 9780819562821. 
  2. Daymond, Margaret J.; Driver, Dorothy; Meintjes, Sheila (2003). Women Writing Africa: The Southern Region (kwa Kiingereza). Feminist Press at CUNY. ISBN 9781558614079. 
  3. "Rose Moss website". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-08. Iliwekwa mnamo 2022-05-12. 
  4. Becker, Jillian (2008). The keep (kwa Kiingereza). Penguin. ISBN 9780143185611. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rose Moss kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.