Rose Kamili Sukum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rose Kamili Sukum (amezaliwa tarehe 30 Agosti 1957) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017