Ronny Coaches
Mandhari
Ronnie Coaches (Alifariki 21 Novemba 2013), pia anajulikana kama Ronnie, alikuwa mwanamuziki mzaliwa wa Ghana na mwanachama wa kikundi cha muziki cha hiplife cha Buk Bak.[1]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Alipata elimu yake ya sekondari katika shule ya Datus Complex. Pia alikuwa na mafunzo ya kiufundi katika Accra Technical Training Centre (ATTC).
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Ronnie alikufa 21 Novemba 2013 huko Korle Bu Teaching Hospital[1]