Nenda kwa yaliyomo

Ronald Musagala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Musagala (kulia)

Ronald Musagala (alizaliwa Iganga, 16 Desemba 1992) ni mwanariadha wa Uganda wa masafa ya kati na masafa marefu.

Katika Mashindano ya Dunia mwaka 2013 huko Moscow, alitoka katika nusu fainali ya mita 800.[1] Alimaliza wa nane katika mbio za mita 800 kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2014.[2] Alishiriki katika mbio za mita 1500 kwenye Mashindano ya Dunia mwaka 2015 huko Beijing lakini bila kusonga mbele kutoka kwa raundi ya kwanza.

Alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2020..[3]

Musagala anashikilia rekodi ya kitaifa katika mita 1500.[4]

  1. "Musagala bows out with pride".
  2. Kazibwe, Edgar (23 Oktoba 2014). "Four Ugandan Athletes Sign Kit and Endorsement Deals with Adidas, Nike".{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Athletics MUSAGALA Ronald". Tokyo 2020 Olympics (kwa American English). Tokyo Organising Committee of the Olympic and Paralympic Games. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Agosti 2021. Iliwekwa mnamo 2021-08-17.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Hassan breaks world mile record in Monaco with 4:12.33 - IAAF Diamond League". IAAF. 12 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ronald Musagala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.