Nenda kwa yaliyomo

Rogério

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rogério Oliveira da Silva (alizaliwa 13 Januari 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazil, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Brazil.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rogério kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.