Rodrigo Moreno Machado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rodrigo

Rodrigo Moreno Machado (anajulikana tu kama Rodrigo; amezaliwa tarehe 6 Machi mwaka 1991) ni mchezaji wa soka wa Hispania anayecheza kama winga au mshambuliaji.

Alianza kazi yake na klabu ya Real Madrid. Mwaka 2010 alisaini katika klabu ya Benfica ambapo aliweza kushinda tuzo nne, hasa hasa ya ndani ya msimu wa 2013-14.

Rodrigo aliwakilisha Hispania wakati wa vijana.mwaka 2013 alishinda michuano ya Ulaya na timu ya chini ya miaka 21. Mwaka uliofuata, alipata kofia yake ya kwanza kwa upande wa juu.

Rodrigo ameweza kupata nafasi ya kucheza kombe la dunia la mwaka 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodrigo Moreno Machado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.