Rockstar North

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rockstar North Limited (DMA Design Limited) ni kampuni inayopatikana Uingereza, ambayo inajihusisha na utengenezaji wa michezo ya kompyuta. Ni tawi la Rockstar Games lililopo huko mjini Edinburgh, Scotland.

Kampuni hiyo ilianzishwa kama "DMA Design" huko Dundee mwaka 1987 na David Jones, hivi karibuni amekodisha wanakampuni wenzake wa zamani Mike Dailly, Russell Kay, na Steve Hammond.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rockstar North kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.