Roberto Carlos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roberto Carlos akiwa Moscow

Roberto Carlos Da Silva Rocha (alizaliwa 10 Aprili 1973) ni mchezaji mstaafu wa soka na taifa lake ni Brazili.

Alikuwa mshambuliaji wa kushoto katika timu ya taifa (Brazili) baadaye beki wa kushoto na sifa zake alikuwa mtu mwenye nguvu na stamina na mwenye kasi kwenye mbio na alikuwa mwenye maarifa ya karibu na alikiwa an urefu wa inchi 24 (61 cm) katika historia yake mojawapo katika mwaka 1997 alikuwa mkimbiaji mzuri kati ya wote katika FIFA ya dunia na mwaka 2004 aliitwa na Pele katika listi ya wachezaji maili 100 Roberto Carlos alianza kucheza kwenye timu ya taifa mwaka 1992 alichezea kombe la dunia alisaidia timu yake kuingia fainali mwaka 1998 ndani ya Ufaransa alianzankuchezea klabu ya Real Madrid.

Alipewa jina la utani El Hombre Bala ("The Bullet Man") kwa sababu ya mashuti yake yenye nguvu ambayo yamepimwa kuwa na spidi ya maili 105 kwa saa (kilomita 169 kwa saa)anatambulika kama mmoja wa wachezaji bora wanaoishi .

Roberto Carlos alianza kuichezea timu yake ya taifa mwaka 1992.Alicheza kwenye michuano ya kombe la dunia mara tatu,aliisaidia nchi yake kufika nusu fanali mwaka 1998 dhidi ya Ufaransa, na kushinda mwaka 2002 nchini Korea/Japan.Na kuwa miongoni mwa mashujaa wa FIFA mwaka 1998 na 2002.

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Timu ya taifa ya Brazil
Mwaka Mechi Magoli
1992 7 0
1993 5 0
1994 7 0
1995 13 1
1996 4 0
1997 18 2
1998 10 0
1999 13 2
2000 9 0
2001 7 1
2002 11 1
2003 5 1
2004 12 0
2005 9 3
2006 6 0
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roberto Carlos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.