Robert Curl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Curl

Robert Floyd Curl, Jr. (amezaliwa 23 Agosti 1933) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa na mfumo wa kaboni. Mwaka wa 1996, pamoja na Harold Kroto na Richard Smalley alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Curl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.