Robert Araujo
Mandhari
Robert John Araujo, S.J. (30 Oktoba 1948 – 21 Oktoba 2015) alikuwa padri Mjesuiti wa Marekani Profesa wa John Courtney Murray katika Shule ya Sheria ya Loyola University Chicago. Hapo awali, aliwahi kuwa Profesa wa Robert Bellarmine wa Sheria ya Kimarekani na Kimataifa ya Umma katika Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Gonzaga (1994–2005) na Profesa wa Kawaida katika Chuo Kikuu cha Kipapa cha Gregoriana huko Roma (2005–2008).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Robert J. Araujo, S.J., "Anti-Personnel Mines and Peremptory Norms of International Law: Argument and Catalyst", 1 Gonzaga Journal of International Law (1997-98)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |